Ushindi wa Wikiendi kwa Odds Kubwa za Meridianbet, Ingia Mchezoni!
CHAGUA ushindi wikiendi hii! Soka likiwa linaendelea kurindima katika viwanja na ligi mbali mbali. Tunakusogezea ofa ya Odds kubwa ambazo huzipati kwokwote zaidi ya Meridianbet. Shinda na odds tunazokupa hapa!
Tukianzia EPL, Man City anataka kuendeleza ubabe na kujiongezea tofauti ya pointi kileleni anapokutana na washika mtutu Arsenal, ambao pia wana njaa ya pointi tatu ili waweze kujisogeza karibu na 4 bora. Nafasi kubwa ya ushindi ipo kwa mwenyeji Man City, Meridianbet wamempa City ushindi kwa odds ya 1.56
Fiorentina wanamkaribisha Spezia Ijumaa, ambaye aliwachapa vinara wa ligi. Wenyeji watacheza mechi hii kwa tahadhari kubwa kubakiza ushindi nyumbani. Bashiri Fiorentina kuibuka kidedea na Meridianbet wao wamekuwekea Odds ya 2.05.
Real Betis wanarejea dimbani wakiwa wametoka kushinda mechi dhidi ya Villareal, wakati Getafe anasafiri ugenini akitoka kupoteza mechi ya nyumbani. Getafe ana kibarua kigumu na Meridianbet wanakupa odds ya 2.2 ukimpa ushindi Betis.
St. Etienne na Reims wote wana pointi sawa baada ya kucheza mechi 25, lakini mwenyeji hajafungwa katika mechi 19 zilizopita. Ushindi kwa St. Ettienne unakupa odds ua 2.45 kutoka Meridianbet.
West Bromwich Albion wanatarajia kuendelea kujiwekea matumaini ya kuonesha uhai wao kwenye Ligi Kuu wanaposafiri kuumana na Burnley Jumamosi. Burnley ana nafasi kubwa ya kupata ushindi, Meridianbet wamempatia nafasi ya ushindi kwa odds ya 2.15.
Fulham wanasaka kujiondoa kwenye mstari mwekundu, wakiwa nafasi ya 18 sasa, wanakutana uso kwa uso na Sheffield ambao pia wapo mikiani kabisa kwenye jedwali la msimamo wa ligi. Mpe ushindi Fulham na Meridianbet wanakupa Odds ya 2.30.
Inter Milan atakuwa anasaka kuendelea kuwa kinara Serie A, pale anapokutana na mpinzani wake wa karibu, wakiwa wana tofauti ya pointi moja tu kileleni. Mechi hii ni muhimu kwa wote, mpe ushindi Inter Milan, Meridianbet wanakupa Odds ya 2.20.
Werder Bremen anakaribia nyumbani kwa Hoffenheim akiwa na matarajio makubwa ya kukusanya pointi 3 muhimu kujiondoa nafasi ya 11, mwenyeji wake akiwa nafasi ya 11. Meridianbet wamempa nafuu mwenyeji kushinda kwa odds ya 2.15
Brighton wana mkaribisha Crystal Palace, ambao wameshinda mechi zao tatu katika sita za hivi karibuni dhidi ya Brighton. Brighton wanahitaji ushindi usalie nyumbani. Tunakupa Odds ya 1.90 ukimpa ushindi Brighton.
Katika mechi zao 3 zilizopita za ugenini dhidi ya Osassuna kwenye LaLiga, Sevilla wameshinda mechi mbili tu, na sare moja. Ni nafasi ya Osassuna kujaribu kubadilisha historia yake dhidi ya Sevilla. Hapa Meridianbet wanakupa odds ya 2.10 ukimpa ushindi Sevilla.
No comments: