WATU NA MATUKIO KATIKA PICHA

 


Mchungaji kanisa la Pentekoste (FPCT) kijiji
cha Mwankoko manispaa ya Singida,Gidion akikagua shamba lake la
mahindi  kama alivyokutwa na mpinga picha wetu juzi.
Mkurugenzi mtedaji wa shirika la Save the mother and
children fora central Tanzania (SMCCT) mkoa wa Singida ,Evaleni Senge
Lyimo,akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa utetezi dhidi ya mila
potofu ukeketaji na ukatili wa kijinsia kwenye mkutano maalum kwa
ajili ya kupitisha sheria ndogo ndogo. Sheria hizo ndogo
ndogo, zitatumika kudhibiti mila potofu na vitendo vya ukatili wa
kijinsia.
Mwezeshaji Japhet Kalegeya akitoa mada yake
juu ya sheria ndogo ndogo dhidi ya mila potofu na ukatili wa kinjisia
juzi  kwenye mkutano maalum uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa
Chakinya kata ya Iseke wilaya ya Ikungi.(Picha zote na Nathaniel Limu.)


No comments: