TAMASHA LA 12 LA KITAIFA LA MAZOEZI YA VIUNGO LAFANYIKA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DKT,Hussein Ali Mwinyi katikati akiwa pamoja na Makamu wa Kwanza wa
Rais Maalim Seif Sharif Hamad kulia Makamu wa Pili wa Rais Hemed
Suleiman Abdulla wa mwisho kulia na Viongozi mbalimbali wakifanya
mazoezi ya Viungo ndani ya Uwanja wa Amani baada ya kuwasili kutoka
katika Maandamano ya Tamasha la 12 la Kitaifa la Mazoezi yalioanzia
Kisonge hadi Amaan Studio Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DKT,Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba katika Tamasha la12 la Kitaifa la
Mazoezi ya Viungo yalioanzia Kisonge hadi Amaan Studio Zanzibar.
No comments: