RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA MASJID AFRA BINTI ISSA .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tano kulia) akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume (mbele) katika Masjid Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini wakati alipowasili katika masjid hiyo leo kushiriki sala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 01/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husseinn Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 01/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 01/01/2021.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 01/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imam Sheikh Omar Abeid wa Masjid Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini wakati alipowasili katika Masjid hiyo leo kushiriki sala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 01/01/2021.
No comments: