MAKAMU WA RAISI SAMIA SULUHU ASHIRIKI HAFLA YA KUPOKEA MAANDAMANO YA MIAKA 57 YA MAPINDUZI MATUKUFU ZANZIBAR

 


 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 10,2021 ameshiriki kwenye Hafla ya kupokezi ya Maandamano ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu Zanzibar katika Uwanja wa Mao tsung mjini Zanzibar. 

No comments: