WASHINDI 160 WA NMB MASTABATA WAPATIKANA

 
Meneja wa Bidhaa za Kadi wa Benki ya NMB, Saidi Kiwanga, akizungumza kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya nne ya promosheni ya MastaBata siyo kikawaida, iliyofanyila leo kwenye makao makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es salaam. Jumla ya washindi 40 wa laki moja kila mmoja wamepatikana leo katika droo za wiki na kufikia idadi ya washidni 160 toka kuanza kwa promosheni hiyo. Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Elibariki Sengasenga.

Meneja wa Bidhaa za Kadi wa Benki ya NMB, Saidi Kiwanga, akizungumza kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya nne ya promosheni ya MastaBata siyo kikawaida, iliyofanyila leo kwenye makao makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es salaam. Jumla ya washindi 40 wa laki moja kila mmoja wamepatikana leo katika droo za wiki na kufikia idadi ya washidni 160 toka kuanza kwa promosheni hiyo. Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Elibariki Sengasenga na kulia ni Mtaalam wa Kadi wa Benki ya NMB, Abeid Ng'wanakilala.

No comments: