WANAFUNZI 150 KUEPUKANA NA ADHA YA UPUNGUFU WA MADARASA, MBUNGE ASHIRIKI UJENZI
Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo(aliyeinua mkono),
akikabidhi matofali ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya
Msingi Mchangani,iliyopo Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja leo.Wanafunzi wa shule hiyo wanakabiriwa na upungufu wa
madarasa.
Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo(aliyeinua mkono,)
akikabidhi mifuko ya Saruji ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika
Shule ya Msingi Mchangani,iliyopo Wilaya ya KatiMkoa wa Kusini
Unguja leo.Wanafunzi wa shule hiyo wanakabiriwa na upungufu wa
madarasa.
Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo(watatu kulia), akikabidhi
mabati ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi
Mchangani,iliyopo Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo.Wanafunzi
wa shule hiyo wanakabiriwa na upungufu wa madarasa.
Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo akishiriki ujenzi wa
vyumba vya madarasa baada ya kukabidhi Mabati,Mifuko ya Saruji na
matofali wakati wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya
Msingi Mchangani,iliyopo Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini
Unguja leo.Wanafunzi wa shule hiyo wanakabiriwa na upungufu wa
madarasa.
No comments: