Tigo yafunga mtaa Kigamboni na Jaza Tukujaze tena

 

 

Jaza kifurushi na Tukujaze Bonus na Burudani #FungaMtaaNaTigo #JazaTukujazeTena

#FungaMtaaNaTigo #JazaTukujazeTena Simu mbalimbali ikiwemo Itel T20 ilikuwepo viwanja vya swala kigamboni ambapo ukinunua simu hii unatapa GB 30 Mwaka mzima pamoja na kuiingia droo ya kushinda pikipiki pamoja na Smart Tv

NI MWENDO WA KUJAZWA NA TIGO: Huyu amejaza , Yule amejaza na watu wote tumejazwa tena#FungaMtaaNaTigo #JazaTukujazeTena

Huyu ndiye aliyeibuka mshindi wa Samsunv Note 20 wiki hii
#FungaMtaaNaTigo #JazaTukujazeTena

Mshindi mwingine tena wa Kitoxhi 4G leo amekabidhiwa simu yake #FungaMtaaNaTigo #JazaTukujazeTena


#FungaMtaaNaTigo #JazaTukujazeTena
Naye ni mshindi wa Itel T20


Mshindi wa Itel T20 wiki hii #FungaMtaaNaTigo #JazaTukujazeTena


#FungaMtaaNaTigo #JazaTukujazeTena Niko na washindi wa simi wiki hii @jotiofficial 



zawadi zikiendelea kumwagika kwa wateja #FungaMtaaNaTigo #JazaTukujazeTena


No comments: