MVUA YAKATA MAWASILINAO KIVULE BOMBAMBILI
Wakazi wa eneo la Bombambili, Kata ya Kivule Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam waishio eneo la Kwakapungu wakivuka kwa shida katika eneo la bonde la kwa Mbonde kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam na kusababisha mawasiliano kati ya eneo hilo la Kwambonde na Kwa Chuma kukatika. Ipo haja eneo hilo kujengwa daraja ili kuwezesha wananchi kupita bila usumbufu. (Picha na Mroki Mroki).
No comments: