Balozi wa Vodacom Tanzania Foudation, Joyce Buzuka akitoa elimu kwa baadhi ya wafanyabiashara wa mnada wa mifugo wa Ushirika wilaya ya Nzega mkoani Tabora mwishoni mwa wiki kwa Juma Husseni (kulia) jinsi gani programu ya Vodacom Instant Schools inawezesha kutafuta, kupata na kupakua maudhui mbalimbali kwa njia ya mtandao bila gharama yeyote.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Puge Nzega Tabora wakisoma vipeperushi vya Vodacom Tanzania Foundation vinavyoelemisha programu ya Instant Schools mara baada ya kupata mafunzo ya matumizi ya mfumo huo.
Balozi wa Vodacom Tanzania Foundation, Harrison Mgutu (kulia) akitoa elimu ya programu ya Vodacom Instant Schools (Soma Kidijitali) kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Puge, Nzega Tabora kupitia mpango huo utamuwezesha mtumiaji kupata masomo, kutafuta, na kupakua maudhui mbalimbali kwa njia ya mtandao bila gharama yeyote.
No comments: