Tigo yatoa bonus ya billion 1.2 MB katika campaign ya Jaza Tukujaze Tena
TunakabidhiTena: Tigo yaendelea kukabidhi zawadi za Simu kwa washindi mbalimbali wa #JazaTukujazeTena ambapo wateja hujishindia pia bonus za dakika, MB na SMS na kubwa zaidi kupata Simu Janja. "Mpaka sasa tumeshatoa simu zaidi ya 240 kati 1200 na bado tunaendelea kutoa simu mbalimbali kupitia kampeni yetu inayoendelea nchini kote" Beatrice Kinabo-Meneja huduma kwa wateja kanda ya pwani |
JOTI "Ukinunua kifurushi Tigo inakupa Bonus za Dakika, SMS na MB's na zaidi unajiwekea nafasi ya kushinda smartphone ambazo leo tunazitoa kwa washindi wa wiki hii."#ItelT20 #TecnoKitochi4G kumi kila siku na #SamsungNote20 tatu kila wiki. #JazaTukujazeTena |
No comments: