MAAFISA UTUMISHI WA RUWASA WAFUNDWA

Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Bi. Visensia Kagombora akizungumza na Maafisa Utumishi wa RUWASA katika kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa kikao cha Maafisa Utumishi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa RUWASA, Bi. Visensia Kagombora (hayupo pichani) katika kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es Salaam.

No comments: