KATIBU WA BUNGE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE LA 12

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Mbili unaotarajiwa kuanza tarehe 10 Novemba, 2020, Jijini Dodoma. Kuliani ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, Bw. Daniel Eliufoo. PICHA NA BUNGE

No comments: