HAFLA YA KUWAPONGEZA WAHESHIMIWA WABUNGE JIJINI DODOMA

 

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza katika hafla ya kuwapongeza Waheshimiwa Wabunge iliyoandaliwa na Benki ya NMB Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhede (kushoto) wakati wa hafla ya kuwapongeza Waheshimiwa Wabunge iliyoandaliwa na Benki hiyo Jijini Dodoma. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ruth  Zaipuna.

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza katika hafla ya kuwapongeza Waheshimiwa Wabunge iliyoandaliwa na Benki ya NMB Jijini Dodoma.

Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth  Zaipuna (kushoto) akiwaelezea jambo Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia), Mbunge wa Isimani, Mhe. William Lukuvi na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhede, (kulia) wakati wa hafla ya kuwapongeza Waheshimiwa Wabunge iliyoandaliwa na Benki ya NMB Jijini Dodoma.

PICHA NA BUNGE

No comments: