Baada ya UEFA Nations League – UEFA Champions League Inaendelea Wiki Hii!

 *Inter Millan Kuwakaribisha Real Madrid.

MUENDELEZO wa michezo ya Kundi B itawakutanisha Inter Millan vs Real Madrid. Miamba miwili ya soka ambao bado wanatafuta pointi ili wafuzu hatua ya 16 bora.


Kundi B ni kati ya makundi yaliyotoa matokeo ya kustaajabisha. Inter na Madrid wanashika nafasi ya 3 (Madrid) na 4 (Inter). Ni kundi ambalo linaongozwa na Shakhtar Donetsk na Borussia Monchengladbach, timu ambazo wengi hawakuwa wamezipa nafasi katika kundi hili.


Mchezo wa kwanza uliopigwa katika dimba la Estadio Alfredo Di Stefano, Madrid aliibuka kidedea kwa ushindi wa 3-2 dhidi ya Inter. Ni mchezo uliotoa magoli mengi zaidi miongoni mwa michezo ya Kundi B kwenye Ligi ya Mabingwa.


Inter Millan wanahaha zaidi kutokana na uhalisia kwamba hawajapata ushindi wowote katika mechi 3 za mwanzo kwenye hatua ya makundi. 


Madrid nao bado hawajaipata nafasi ya kufuzu hatua ya mtoano na hivyo mchezo dhidi ya Inter Millan ni wa muhimu kwa timu zote mbili kwenye Ligi ya Mabingwa.


Uhalisia ni kwamba, Inter wanahitaji ushindi na kuongeza pointi ili kujinusuru kutoondolewa kwenye Mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa misimu miwili mfululizo. Madrid haijawahi kuifunga Inter wakiwa ugenini. Japokuwa, Zinedine Zidane amekuwa mwamba anapokutana na timu za Italia, ameshinda mechi 7 kati ya 8 alizocheza na timu za Italia.


Nani atamzidi mwenzake kete, ni Zidane akiwa na Madrid au ni Conte akiwa na Inter?

Kwa upande wa wataalamu wa Meridianbet, odds za mchezo huu zimechangamka!! Ushindi kwa Inter unaodds ya 2.20, Madrid anathaminiwa kwa odds ya 3.04 wakati matokeo ya sare yanaodds ya 3.43.


Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.


Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi!


Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanzekubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

No comments: