ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Novemba 21,2020 limetangaza matokeo ya darasa la saba

Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi, Novemba 21, 2020 Jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa baraza la Mitihani Tanzania(NECTA), Dkt. Charles Msonde, amesema Jumla ya shule 38 sawa na asilimia 0.22 ya shule zote za msingi 17,329 zilizofanya mitihani, zimebainika kufanya udanganyifu wa mitihani kwa namna mbalimbali. 

Watahiniwa 1,059 sawa na asilimia 0.1 ya wote 1,023,950 waliofanya mitihani walibainika kudanganya.

Hapo chini ni matokeo ya watahiniwa ambao hawakudanganya katika ufanyaji wa mitihano.

BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YOTE

No comments: