Vodacom Tanzania PLC yasherehekea na wateja kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare(kulia) akimkabidhi zawadi ya Keki mteja wa Vodacom, Paul Bendera mkazi wa Kigamboni kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika kwenye duka la Vodacom Mlimani City Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Duka la Vodacom Mlimani city, Zabibu Kasele.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare akimkabidhi zawadi ya Ua mteja wa Vodacom, Saumu Ally mkazi wa Kimara kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika kwenye duka la Vodacom Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
No comments: