RAIS DKT. JOHN JOSEPH MAGUFULI AKIWA KATIKA KIWANDA CHA NGOZI, KARANGA MOSHI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi kabla ya kuzindua Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International leather Industries Co Ltd kilichojengwa kwenye eneo la Gereza Kuu la Karanga Moshi mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua bidhaa za Ngozi pamoja na mashine za Kiwanda hicho cha Ngozi cha Kilimanjaro International leather Industries Co Ltd kilichojengwa kwenye eneo la Gereza Kuu la Karanga mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia hotuba mbalimbali kabla ya kuzindua Kiwanda hicho cha Ngozi cha Kilimanjaro International leather Industries Co Ltd kilichojengwa kwenye eneo la Gereza Kuu la Karanga mkoani Kilimanjaro.


Wafanyakazi mbalimbali wa Kiwanda hicho cha Ngozi cha Kilimanjaro International leather Industries Co Ltd wakiwa wanatengeneza viatu vya aina mbalimbali mara baada ya uzinduzi wa Kiwanda hicho. PICHA NA IKULU.

 

No comments: