NI ASKOFU GWAJIMA JIMBO LA KAWE

 Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kawe amemtangaza Askofu Josephat Gwajima wa CCM kuwa mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa kura 194,833 akifuatiwa na Halima Mdee (CHADEMA) mwenye kura 32,524.

No comments: