MKUTANO WA UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM KISIWANI PEMBA
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa Ufungaji wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kisiwa cha Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kisiwa cha Pemba wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihutubia mkutano wa ufungaji wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba

Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo na Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chama hicho Mohammed Ali Mohammed Mkazi wa Chakechake Kisiwa Pemba akikabidhi kadi yake kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuamuwa kukihama Chama hicho katika mkutano wa ufungaji wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo Octoba 24,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments: