Mgombea Urais wa CCM Rais Magufuli ahutubia Wananchi wa Usa River Arumeru mkoani Arusha

 


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Arumeru katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika Usa River mkoani Arusha leo tarehe 22 Oktoba 2020.   Sehemu ya Wananchi wa Usa River waliohudhuria mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika Usa River Aru Meru mkoani Arusha.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Usa River mara baada ya kuwasili mkoani Arusha wakati akitokea mkoani Kilimanjaro leo tarehe 22 Oktoba 2020.

No comments: