Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais agufuli ahutubia Wananchi wa Babati mkoani Manyara
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono kuwasalimia wananchi wa Babati mjini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kwaraa Babati mkoani Manyara leo tarehe 25 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Babati katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Kwaraa Babati mkoani Manyara leo tarehe 25 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mkutano wa Kampeni katika eneo la Magugu Babati mkoani Manyara leo tarehe 25 Oktoba 2020.
Sehemu ya Wananchi wa Babati waliofurika katika uwanja wa Kwaraa kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 25 Oktoba 2020
No comments: