MGOMBEA URAIS CCM, RAIS DKT.JOHN JOSEPH MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA HAI, KILIMANJARO



Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Hai mara baada ya kuwasili Bomang’ombe Hai mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 22 Oktoba 2020. 







Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Hai mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika Bomang’ombe leo tarehe 22 Oktoba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Hai waliohudhuria mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli Hai mkoani Kilimanjaro leo tarehe 22 Oktoba
2020.

No comments: