MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA ARUSHA MJINI

 


 

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Arusha katika mkutano wa Kampeni za Urais uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo tarehe 23 Oktoba 2020

Sehemu ya wananchi wakifatilia hotuba ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwaomba kura  katika mkutano wa Kampeni za Urais uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo tarehe 23 Oktoba 2020

PICHA NA IKULU

No comments: