MATUKIO YA UFUNGUZI WA BARAZA LA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA (IJA) LUSHOTO
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza na
Wajumbe/Washiriki wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo ya Semina elekezi
kwa wajumbe hao wa Baraza jipya la saba (7) la Uongozi wa Chuo cha
Uongozi wa Mahakama (IJA) Lushoto.
Jaji Mkuu akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Baraza la saba (7)
la Uongozi wa Chuo hicho.
Pichani ni baadhi ya Washiriki na Wawezeshaji wa Semina hiyo.
Picha ya pamoja ya Wajumbe na Washiriki wa semina hiyo. Walioketi
katikati ni mgeni rasmi, Jaji Mkuu wa Tanzania. Mhe. Prof. Ibrahim Hamis
Juma, kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Mhe. Jaji Mkuu
(Mafunzo na Utafiti), Mhe. Jaji Augustine Mwarija na kushoto ni Mwenyekiti
wa Baraza hilo, Mhe. Jaji Dkt. Gerald Ndika.(Picha zote na Mary Gwera, (Mahakama.)
No comments: