MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KILWA KIVIUNJE MKOANI LINDI

 

Baadhi ya wananchi wa Kilwa wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Ukote, Kilwa Kiviunje

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akimnadi Mgombea Ubunge wa CCM wa Jimbo la Kilwa Kusini, Ali Mohammed Kasinge (kulia) na Mgombea Udiwani wa Kata ya  Kivinje Singino, Jafar Arobaini katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Ukote, Kilwa Kivinje mkoani Lindi, Oktoba 22, 2020.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni  kwenye uwanja wa Ukote, Kilwa Kivinje,

 

No comments: