Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Makete, amemtangaza Mgombea Ubunge jimbo hilo Kupitia (CCM) Festo Sanga kuwa mshindi kwa kupata kura 24,237 akifuatiwa na Ahadi Mtweve (CHADEMA) mwenye kura 5077 na Grace Jekela (NCCR) kura 981.
FESTO SANGA ANYAKUA KITI CHA UBUNGE MAKETE
Reviewed by
TUPASHANE
on
October 29, 2020
Rating:
5
No comments: