Vodacom Tanzania PLC Yawajengea Uwezo wa Masomo ya Sayansi Wanafunzi wa Kike Nchini

Mkurugenzi  wa Rasilmali Watu, Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis  (Kulia) akiongea na wanafunzi  wa shule mbalimbali za sekondari wakati wa kuhitimu mafunzo ya  kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science)  Dar es Salaam 2020  yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Plc .( # Codelikeagirl ) Kushoto ni Mkurugenzi wa Tanzania DLab Stephen Chacha, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi.
Mkurugenzi  wa Rasilmali watu,  Vodacom Tanzania Plc, (HR) Vivianne Penessis  (Kulia) akimkabidhi zawadi  ya begi  Loyce  Nasoro wa kundi  la  Solveit kwa kuibuka washindi wa tatu wa ubunifu  wa mafunzo ya  kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science)  Dar es Salaam 2020  yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Plc.( # Codelikeagirl)  Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa DLab Stephen Chacha, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi.
Mkurugenzi  wa Rasilmali watu,  Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis  (Kulia) akimkabidhi zawadi Nilham Ally  wa kundi la Soko Poa baada ya  kuibuka washindi wa kwanza wa ubunifu  wa tovuti inayoonesha namna ya kuuza na kununua bidhaa za vyakula  wakati wa mafunzo ya  kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science)  Dar es Salaam 2020  yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Plc, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi.
Mkurugenzi  wa Rasilmali watu, Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessir  (Kulia) akimkabidhi  Rayyan Ahmed cheti cha kuhitimu  mafunzo ya  kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science)  Dar es Salaam 2020  yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Pllc.  .( # Codelikeagirl) Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa DLab Stephen Chacha, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi

No comments: