Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yatoa zawadi za Kompyuta kwa wanafunzi walioshinda baada ya kuandika Insha kuhusu mazingira kwenye maadhimisho ya siku ya tabaka la Ozone
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, George Simbachawene akikabidhi Kompyuta mpakato (Laptops) kwa wanafunzi mbalimbali waliojishindia zawadi kwa kuandika Insha kuhusu uhifadhi wa mazingira wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya uhifadhi wa tabaka la Ozone yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufanyika Jijini Dodoma.

Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation , Sandra Oswald akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya uhifadhi wa tabaka la Ozone yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufanyika Jijini Dodoma, Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation ilitoa zawadi za kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya Tsh.13 milioni kwa ajili ya zawadi kwa washindi wa kitaifa wa shindano la kuandika Insha kuhusu uhifadhi wa mazingira .
No comments: