Maafisa wa RITA wakiwa wanatoa huduma kwa wananchi waliojitokeza katika banda hilo kupata huduma ya vyeti vya kuzaliwa kwenye kampeni ya 1stop huduma Katika eo katika Viwanja vya Zakhem Mbagala wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)
Afisa usajili RITA,Mariam linga'nde(kulia) akimwelekeza Mwananchi namna ya kujaza fomu ya cheti cha kuzaliwa leo katika kampeni 1stop huduma kwenye viwanja vya Zakhem wilaya Temeke jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakiwa kwenye foleni katika banda la RITA.
RITA YASHIRIKI KAMPENI YA 1STOP HUDUMA MBAGALA
Reviewed by
TUPASHANE
on
September 16, 2020
Rating:
5
No comments: