NHIF ZANZIBAR YAHAMASISHA UMUHIMU WA BIMA YA AFYA NA MAZOEZI
MENEJAwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Zanzibar Ismail Nuhu Kangeta
akizungumza wakati wa Bonanza la michezo kwa watumishi wa Serikali na
wananchi Zanzibar lililofanyika kwenye viwanja vya Mau mjini Unguja
MENEJAwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Zanzibar Ismail Nuhu Kangeta katikati
akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa bonanza hilo
Washiriki wa Bonanza hilo wakiendelea na mazoezi kwenye viwanja hivyo
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kwenye bonana hilo
NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR.
MFUKOwa Taifa wa Bima ya Afya Zanzibar umehamasisha wananchi kujiunga namfuko huo ili kuweza kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewasambamba na ufanyaji wa mazoezi kila wakati kwa ajili ya kupambana namagonjwa yasiyoambukiza ikiwemo kisukari na shinikizo la damu.
Hayoyalisemwa na Meneja Mkaazi wa ofisi ya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Zanzibar Ismail Kangeta wakati akitoa elimu ya umuhimu wa bima yaafya wakati wa bonanza ambalo liliandaliwa na Mfuko huo ofisi ya
Zanzibar.
Bonanzahilo lilikwa na lengo la kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko wa bimaya Afya pia kusisitiza umuhimu wa kushiriki kwenye michezo ili
kupunguza magonjwa yasiyoambukizwa ambayo ndio yamekuwa tishio kwa afyaza watu kwa sasa.
"Kamaunavyojua ukifanya mazoezi mara kwa mara kuna uwezekano mkubwa wakuepukana na magonjwa yasiyoyakuambukiza hivyo ndio maana tumeonatuandae bonanza hili na litakuwa linafanyika kila wakati"Alisema.
Hata hivyo aliwataka wananchi kujiunga na mfuko huo ili kuweza kunifaika na huduma mbalimbali ambazo wamekuwa wakizitoa
No comments: