MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA NANYAMBA MTWARA VIJINI



Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini alipowasili katika Uwanja wa Polisi Nanyamba kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini  katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Uwanja wa Polisi Nanyamba
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Uiwanja Polisi Nyanyamba leo Septemba 10,2020.


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 Mgombe Kiti cha Ubunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini kwa tiketi ya CCM Mhe. Hawa Ghasia wakati wa mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Polisi Nanyamba.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini baada ya kuwahutubia mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Polisi Nanyamba leo Septemba 10,2020.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments: