Bia ya Serengeti yadhamini mbio za kuhamasisha utunzaji mazingira wilayani Serengeti

Klabu ya wakimbiaji kutoka kanda ya ziwa, wakishangilia baada ya kufanikiwa kumaliza mbio za Serengeti Migration Marathon, wakikimbia katika mbio hizo zilizodhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira. Mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara.

Mkuu wa wilaya ya Rorya Simon Odunga (wa pili kushoto)  akimshukuru mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu (wa kwanza kulia) kumwalika kuwa Mgeni rasmi uzinduzi wa mbio za Serengeti Migration Marathon zilizodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasiahaji wa utunzaji wa mazingira. Mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara.
Baadhi ya washiriki wa mbio za Serengeti Migration Marathon wakionyesha medali zao baada ya kuweza kumaliza mbio hizo zilizodhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira. Mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara. 

No comments: