ZANTEL YAANDAA MASHINDANO YA MWEZI YA GOFU -LUGALO

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk.Damas Ndumbaro akicheza gofu wakati wa mashindano ya ndani ya mwezi yaliyoandaliwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel na kufanyika katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam.
 Kain Mbaya, mchezaji gofu wa klabu ya Lugalo akipiga mpira wakati wa mashindano ya ndani ya gofu yaliyoandaliwa na Kampuni ya simu za mkononi Zantel na kufanyika katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam.
Nicholous Chitanda, mchezaji gofu wa klabu ya Lugalo akicheza wakati wa mashindano ya ndani ya gofu yaliyofanyika jana katika viwanja vya lugalo jijini Dar es salaam na kuandaliwa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel.

No comments: