Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wa Mtama waliojitokeza kumlaki barabarani wakiongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake, Nape Nnauye, Agosti 13,2020. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa akitoka Dar es salaam kwenda Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU ASALIMIANA NA WANANCHI WA MTAMA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA
Reviewed by
TUPASHANE
on
August 14, 2020
Rating:
5
No comments: