WAZAZI NA WALEZI WALEENI WATOTO MALEZI BORA-MCHUNGAJI NAHONGE

Mchungaji  wa Kanisa la  Word Alive Centre,Glory Nahonge akizungumza na wanawake mbalimbali katika semina ya malezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Ambapo amewataka wazazi na walezi wawalee watoto wao katika malezi bora na makuzi, yenye kufuata nyenendo na tamaduni zenye tija ya kumcha Mungu.Wazi na walezi waliotoka maeneo
mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam wakimsililiza Mchungaji  wa Kanisa la 
Word Alive Centre,Glory Nahonge katika semina ya malezi iliyofanyika leo.Mwenyekiti wa Maandalizi ya semina ya malezi,Edda Lyamba akiwakaribisha wanawake mbalimbali katika semina ya malezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.


Mwimbaji
wa Nyimbo za Injili,Jessica Honore( mbele) akiimba katika 
semina ya malezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.



Picha ya pamoja ya viongozi wa Ndini
Picha ya pamoja na Viongozi wa Ndini na kamati ya maandalizi ya semina ya malezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

No comments: