TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MOROGORO NA DODOMA.


Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni miongoni mwa washiriki wa Maonesho ya Wakulima maarufu Nane Nane ambapo mwakahuu wameshiriki katika Kanda mbili za Maonesho hayo Kanda ya Mashariki Mkoani Morogoro na Kanda ya Kati jijini Dodoma. Pichani ni Maofisa wa Tume hiyo wakitoa elimu kwa wageni waliotembelea Banda la Maonesho Nane Nane Kanda ya Kati Dodoma.




No comments: