Safari hii ni Bayern Munich dhidi ya Olympique Lyonnais!
MCHEZO wa soka umerejea kwa staili ya aina yake! Fainali ya Ligi Ya Mabingwa 2019/2020 katika ubora wake na siku chache zijazo tutampata bingwa mpya wa Ulaya.
Kama ilivyokuwa miaka ya iliyopita, msimu wa mwaka 2020/2021 Serbia watakuwa na wawakilishi. Mabingwa wetu, Red Star Belgrade wanafursa ya kushinda, kwa sassa wameshiriki mara 3 mfululizo kwenye hatua ya makundi ya michuano hii mikubwa.
Imeanza rasmi jana na raundi ya kwanza ya kufuzu inaendelea leo. Gusa hapa kuangalia michezo ya kufuzu Ligi ya Mabingwa.
Kati ya mechi nyingi kwenye ofa, kuna mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ambayo Lyon watakutana na Bayern Munich. Ni fursa nzuri ya kuweka tiketi ya ushindi.
Bayern Munich wamefikia hatua ya nusu fainali baada ya kuwaburuza kwa aibu Barcelona kwa kipigo cha historia cha magoli 8-2. Olympique Lyonnais wameweka historia na kuwaacha mashabiki wa soka midomo wazi baada ya kupeleka kilio kwa vijana wa Pep Guardiola na kuwachakaza kwa magoli 3-1. Hakika kifo cha Manchester City hakuna aliyekitarajia.
Wataalamu wa Meridian wanauthamini umwamba wa Bayern Munich na Lyon. Thamani hii imewekwa katika odds. Ushindi kwa Bayern Munich umepewa odds 1.22 wakati ushindi kwa Lyon unaodd ya 10.78 na matokeo ya sare ni odd ya 6.46.
Kushiriki kwenye Ligi ya Mabingwa ni lengo kuu ikilinganishwa na Ligi ya Europa sababu kubwa ikiwa ni pesa. Habari njema ni kwamba, pamoja na mlipuko wa virusi vya corona, hakutokuwa na makato ya mapato, yeyote atakayefikia hatua ya mtoano ataingiza kiasi cha euro milioni 1.4.
Kuingia hatua ya makundi unapata zingine 15.25. Ndio, ni milioni!
Mabingwa wa Serbia hawatopata pesa nyingi kama haki za televisheni au mauzo ya tiketi kwasababu hakuna dalili ya kuruhusu uwepo wa mashabiki. Lakini uwepo wa Zvezda utaongeza pesa kutokana na matokeo ya miaka 10 iliyopita ambayo inathaminiwa.
Kwa kuwa kuna washiriki wengine watatu nyuma wa Zvezda, popote watakapo pangwa watapokea kiasi cha chini ni euro milioni 4.43. Kwa ujumla, Red Star wataingiza zaidi ya euro milioni 20 kwa ushiriki wao pekee.
Ushindi kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa unaingiza faida ya euro milioni 2.7 wakati kila pointi inalipiwa nyongeza ya euro laki 9, hii inaonesha dhahiri kwanini wachezaji wa Dejan Stankovic wanashauku kubwa ya kushiriki michuano hii kwa mara ya 3 mfululizo. Sio tu kwa Zvezda, pia hata timu zingine ndogo barani Ulaya zinazojaribu kujiweka kwenye nafasi ya kushiriki michuano hii mikubwa na kushindana na miamba ya soka kama vile Real Madrid, Barcelona, Bayern Munich, PSG, Manchester United, Manchester City n.k
Kwahiyo usijali, kuna pesa nyingi kwenye mzunguko na unaweza kupata pesa kama utabashiri kwa timu uipendayo. Pia tunakukumbusha kubashiri mubashara na Meridian, unapata odds kabambe na kama ikitokea umepoteza tiketi yako ya kwanza, usijali kwa sababu Meridian watakurudishia, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.
Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!
No comments: