RAIS DKT MAGAFULI AKAGUA MAGARI 130 YALIYOTAIFISHWA KUTOKANA NA MATUKIO YA UHUJUMU UCHUMI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua magari makubwa na madogo 130 yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio mbalimbali ya uhujumu yaliyohifadhiwa kituo cha mabasi cha zamani jijini Dodoma leo Jumanne Agosti 25, 2020.

Sehemu ya magari makubwa na madogo 130 yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio mbalimbali ya uhujumu yakiwa yamehifadhiwa katika kituo cha mabasi cha zamani jijini Dodoma yaliyokaguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne Agosti 25, 2020.

No comments: