MAKAMU WA RAIS MH SAMIA SULUHU ATEMBELEA BANDA LA BENKI YA NBC KWENYE MAONESH0 YA 28 YA KILIMO NA MIFUGO – NANE NANE YANAYOFANYIKA MKOANI SIMIYU
Makamu wa Rais, Mh Samia Suluhu (Kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bw Theobald Sabi alipokuwa akielezea kuhusu huduma za benki hiyo kwa wadau wa kilimo wakiwemo wakulima wakati Makamu wa Rais alipotembelea banda la benki hiyo lililopo kwenye Maonesho ya 28 ya kilimo na mifugo - Nane Nane yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Nyakabindi, Bariadi Mkoani Simiyu yakiwa na Kauli mbiu “Kwa Maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Viongozi Bora 2020”. Benki hiyo ni moja wa wadhamini wa Maonesho hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bw Theobald Sabi (katikati) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mh Anthony Mtaka (wa pili kulia) kwenye banda la benki hiyo lililopo kwenye Maonesho ya 28 ya kilimo na mifugo - Nane Nane yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Nyakabindi, Bariadi Mkoani Simiyu yakiwa na Kauli mbiu “Kwa Maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Viongozi Bora 2020”. Wengine ni viongozi wa waandamizi wa benki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bw Theobald Sabi akimkaribisha Makamu wa Rais, Mh Samia Suluhu (Kulia) kwenye banda la benki hiyo lililopo kwenye Maonesho ya 28 ya kilimo na mifugo - Nane Nane yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Nyakabindi, Bariadi Mkoani Simiyu yakiwa na Kauli mbiu “Kwa Maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Viongozi Bora 2020”. Benki hiyo ni moja wa wadhamini wa Maonesho hayo.
No comments: