KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA TANDIKA

Wananchi wakiwa wamefurika katika kituo cha Mabasi Tandika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam wakinunua mahitaji mbalimbali, kama wanavyoonekana pichani hii imekuwa ni kawaida katika maeneo mbalimbali ya jiji.
Wananchi wanalitoka maeneo mbalimbali ya jiji wakiwa katika zoezi la kusagula sagula viatu katika kituo cha mabasi Tandika wilaya ya Temeke Dar es salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv).
Wafanya biashara wa Jiji la Dar es Salaam wakiwasubiri wateja.

No comments: