Hashim Rungwe achukua fomu ya kugombea urais

 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa CHAUMMA, Hashim Rungwe na Mgombea Mwenza, Mohammed Masoud katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 10, 2020. Chama hicho kinakuwa cha kumi na moja (11) kuchukua fomu.  Uchukuaji fomu za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 umeanza Agosti 5 hadi 25,2020.






No comments: