MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA SWALA NA BARAZA LA EID KITAIFA JIJINI DAR ES SALAM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Eid El Adh’haa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiswali swala ya Eid El Adh’haa kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid El-Adh’haa iliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. Wa tatu kushoto ni Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally , Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania na wa tano kushoto ni Sheikh Alhad Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika Swala na Baraza la Eid El Adh’haa kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamanda wa zamani wa Polisi wa Mkoa wa Dar es salaam, Suleiman Kova katika Swala na Baraza la Eid El Adh’haa kitaifa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments: