MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kinondoni, Maulid Said Abdallah Mtulia, kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje, Bungeni jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR- MAGEUZI, James Mbatia, Bungeni jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Mbunge wa Geita Vijijini Mhe. Joseph Musukuma, Bungeni jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Buhingwe, Albert Ntabaliba Obama, kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments: