TAARIFA YA MSIBA

Familia ya Elianshisauo Shoo inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa, Bi. Shaweraisaria Shoo  kilichotokea tarehe 14.05.2020  Arusha. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa Familia, mazishi yatafanyika tarehe 19.05.2020 (jumanne) Machame Lyamungo Kati .

No comments: