SHIRIKA LA MWEDO LAKABIDHI MISAADA KUPAMBANA NA CORONA ARUSHA
Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Richard Kwitega(katikati) akimsikiliza Mkurugenzi wa shirika la Maasai Women Development Organization(MWEDO),Ndinini Kimesera(kulia) walipokabidhi misaada mbalimbali ya usafi kwaajili ya kuunga mkono juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa corona,kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Mwedo,Dk Eliamani Laltaika.
Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Richard Kwitega(kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa shirika la Maasai Women Development Organization(MWEDO),Ndinini Kimesera(wa tatu kushoto) walipokabidhi misaada mbalimbali ya usafi kwaajili ya kuunga mkono juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa corona, ni Makamu Mwenyekiti wa Mwedo,Dk Eliamani Laltaika.
Makamu Mwenyekiti wa shirika la Maasai Women Development Organization(MWEDO),Dk Eliamani Laltaika(wa pili kulia),Mkurugenzi wa shirika hilo,Ndinini Kimesera(wa pili kushoto),Afisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Arusha,Blandina Nkini(kushoto) na Mjumbe wa bodi ya Mwedo,Esupat Ngurupa.
No comments: