SHILATU AHUISHA TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ametumia haki yake kikatiba ya kujiandikisha kwa kuhuisha taarifa zake kwenye daftari la Kudumu la Mpiga Kura itakayompa fursa ya kidemokrasia ya kuchagua viongozi anaowataka kwenye uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani.
Afisa Tarafa Mihambwe, Emmanuel Shilatu akipigwa picha wakati wa kuhuisha taarifa zake kwenye daftari la Kudumu la Mpiga Kura Jana Mei 04, 2020.
Afisa Tarafa Mihambwe, Emmanuel Shilatu akipigwa picha wakati wa kuhuisha taarifa zake kwenye daftari la Kudumu la Mpiga Kura Jana Mei 04, 2020.
No comments: