KUTOKA MTAANI KWETU NDANI MBEZI LUIS

 Baadhi ya wananchi wa maneo mbalimbali katika jiji la Dar es salaam wakiwa katika soko la Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo wakijipatia mahitaji yao mbalimbali ambapo fungu la Magimbi ni sh.1000 mpka 2000 
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 Bei ya fungu la viazi katika soko la Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam fungu linaanzia  shilingi 1000, 2000.
Bei ya fungu la Magimbi na Viazi kati ya  sh.1000/= mpaka 2000/= katika soko la Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam kama inavyo onekana katika picha.

No comments: