KUTOKA MTAANI KWETU HALI HALISI NDANI YA KARIAKOO

 Kutokana na Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani wauzaji wa Madafu wa kariakoo wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, wamepunguza bei kutoka shilingi 1000,hadi 500. kama unavyoonekana pichani.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) 
Mjasiriamali wa Madafu wa Kariakoo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam akisubiri wateja wanaotoka sehemu mbalimbali,ambapo Dafu moja kwa sasa  limauzwa shilingi 500.

Hali halisi

No comments: