WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA KWA NJIA YA VIDEO NA WAKUU WA MIKOA YA MIPAKANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kwa njia ya video na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa ya mipakani kuhusu ugonjwa wa Corona akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments: